Ni hoja dhaifu kudhani eti kuna timu inaihujumu Kagera ili ishuke..ili iweje kwa mfano? Yaani Kagera kuifunga Simba mechi mbili ndio iwe sababu? You can't be serious!Wana mipango kambambe ya kuishusha Kagera sugar
Ila bahati nzr Kagera sugar ni timu yenye msimamo ndo maana imebaki Sana ligi kuu
Kagera sugar imeifunga Simba mechi mbili? You can't be serious!!!Ni hoja dhaifu kudhani eti kuna timu inaihujumu Kagera ili ishuke..ili iweje kwa mfano? Yaani Kagera kuifunga Simba mechi mbili ndio iwe sababu? You can't be serious!
Tujuze Mkuu tujifunze..Soka letu linaboa sana..Kagera sugar imeifunga Simba mechi mbili? You can't be serious!!!
Hiv unafahamu yaliyotokea mwanza? Au unapwaya tu
Kamera ππππMbona mna hoja dhaifu sana? Msimu uliopita kamera alifunga simba na bado akawa bingwa. Msimu huu kamera amemfunga simba mara mbili na bado akawa bingwa. Sasa hoja ya msingi ya simba kutaka kagera ushuke daraja ni ipi?
Unadhani kuzuiwa kwa basi la matangazo la azam ni usimba nanuyanga??Ni kweli mimi ni mgeni kwa kuandika humu lakini ni msomaji mzuri, wakati mwingine tuandikie hoja za kweli kwa manufaa ya mpira wetu, siyo kuandika hoja za ushabiki wa simba na Yanga, hamtendi haki wasomaji wanaotaka habari za ukweli
Mkuu wasemehe bure tu mihemko inawafanya wapoteze ufahamu kwa muda.Mbona mna hoja dhaifu sana? Msimu uliopita kamera alifunga simba na bado akawa bingwa. Msimu huu kamera amemfunga simba mara mbili na bado akawa bingwa. Sasa hoja ya msingi ya simba kutaka kagera ushuke daraja ni ipi?