Harufu ya upangaji matokeo mechi za play off

Harufu ya upangaji matokeo mechi za play off

Wana mipango kambambe ya kuishusha Kagera sugar

Ila bahati nzr Kagera sugar ni timu yenye msimamo ndo maana imebaki Sana ligi kuu
Ni hoja dhaifu kudhani eti kuna timu inaihujumu Kagera ili ishuke..ili iweje kwa mfano? Yaani Kagera kuifunga Simba mechi mbili ndio iwe sababu? You can't be serious!
 
5000 yangu imeondoka pale Nyamagana leo. Kesho sina muda kabisa wa kwenda.

Soka la Tanzania halitokuwa juu abadan
 
Mbona mna hoja dhaifu sana? Msimu uliopita kamera alifunga simba na bado akawa bingwa. Msimu huu kamera amemfunga simba mara mbili na bado akawa bingwa. Sasa hoja ya msingi ya simba kutaka kagera ushuke daraja ni ipi?
 
Ni kweli mimi ni mgeni kwa kuandika humu lakini ni msomaji mzuri, wakati mwingine tuandikie hoja za kweli kwa manufaa ya mpira wetu, siyo kuandika hoja za ushabiki wa simba na Yanga, hamtendi haki wasomaji wanaotaka habari za ukweli
 
Unadhani kuzuiwa kwa basi la matangazo la azam ni usimba nanuyanga??
 
Mbona mna hoja dhaifu sana? Msimu uliopita kamera alifunga simba na bado akawa bingwa. Msimu huu kamera amemfunga simba mara mbili na bado akawa bingwa. Sasa hoja ya msingi ya simba kutaka kagera ushuke daraja ni ipi?
Mkuu wasemehe bure tu mihemko inawafanya wapoteze ufahamu kwa muda.
Huyo Kagera kama angekuwa na uwezo muda huu asingekuwa anahangaika na play off.
Mbona timu kama Mtibwa,Ndanda,Mbeya city nk zimemaliza ligi vizuri.
Au huyo Kagera kaanza kuhujumiwa tangu ligi kuanza??.
Kagera wamejitia shimoni wenyewe hivyo ni jukumu lao wenyewe kujinasua.
Nguvu na maarifa waliyoitumia kuifunga Simba wangeliitumia hata nusu tu kwa mechi zao nyengine saa hizi wangelikuwa wanakula likizo.
Vyura acheni ushabiki maandazi!!.
 
Back
Top Bottom