Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Nani anasemasema kuhusu wanaume wa Dar, basi sahau hiyo kitu kuanzia leo anza kusema wanawake wa Dar. Yaani hata kidume uwe na ugwadu wa miaka 10 nyie wanawake wa Dar hivi vitu havivumiliki.
Wigi liko kichwani week 3 na halijapitishwa maji siku zote hizo, umepiga mkorogo ngozi inanuka kemikali kama unafanya kazi mahabara ya taifa
Hapohapo joto linakupiga juu mpaka chini then unachambia tissue siku mzima maji hayapitishwi kwenye naniliu halafu ndo anakuja gheto umshughulikie. Aisee! Ukimuinamia huyu mtu hadi kizunguzungu unapata.