Harufu ya wigi ukijumlisha na ya mkorogo basi ukimuinamia tabu tupu

Kwani wewe vipi hutumii cream
 
Duh haya tumekuskia !kwa niaba ya wanawake wa Dar nasema hivi tutayafanyia kazi hayo😀
 
Shombo kama lote zaidi ya kambale wa lake Nyasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…