Haruna Moshi 'Boban' hajakua bado

Hata kama timu haitakaa muda mrefu si kuna kipindi cha mazoezi na kuna mechi za kirafiki za timu Taifa star.

Bado pointi yangu inabaki, Makocha wa timu za Taifa kote duniani hasa ulaya yuko tayari kusafiri umbali mrefu kwenda kumwona mchezaji mmoja, sisi hapa tulikuwa na mashindano ya taifa cup, Mwaikimba alicheza karibia mechi zote na akaibuka kuwa mfungaji bora, Poulsen hakuhangaika kuhudhuria hata mechi moja, kwenye ligi Mwaikimba kacheze mechi nyingi na kafunga magoli mengi tuambiani Poulsen alihudhuria mechi ngapi kumwona Mwaikimba leo anataka akamwone kwenye mechi mbili tena za U23, Haruna naye kacheza Kagame mechi zote Poulsen yuko kwao anakula bata, watu wako na ratiba zingine yeye anakuja na ngojera za kutaka kuwaona eti kama wanauwezo.

Mnaomtetea kocha na kumponda Boban twambian siku alivyoita kikosi cha kwanza hao wachezaji aliwaona wapi, Alivyowaita Dan Mrwanda kutoka Vietnam, Henry Joseph toka sijui Norway, Athuman Machupa na Said Maulid aliwaona kwenye timu gani?

Kwa hiyo unamtetea haruna moshi kuvuta mibangi?

WEWE FUSO inawezekana na wewe TEJA!

Kwa hiyo unamtetea haruna moshi kuvuta mibangi?

Katika maneno yangu yote niliyoandika kuna neno bangi umeliona?

Mbona umeshindwa kujibu vitu nilivyouliza halafu unarukia namtetea Haruna kuvuta bangi? Kama mwenyewe anaona zinampa comfort kuliko kwenda Arusha na timu ya U23 kwa nini tumpagie? Wewe vipi muulizeni kwanza kwa nini hakwenda sio kurukia anavuta bangi? Wangapi hawavuti bangi na Poulsen hajataka kuwaona si aje basi achukue humu JF wako wengi tu ambao hawavuti bangi wamwache Haruna na mibangi yake kwa nini mnafuatafuata wakati yeye anaona zinafaa.

Halafu kuvuta bangi si ni kosa la jinai polisi wako wapi kwenda kumkamata? Acheni zenu hizo, Haruna hajaanza leo kulaumiwa na mibangi yake na utovu wa nidhamu si wa mwache, yeye mwenyewe alishakataa kuchezea timu ya Taifa toka kipindi cha Maximo kwa nini mmusumbue utafikiri mlilipa ada ili aende football academy wakati ni juhudi zake mwenyewe, kachezeni nyie wenye nidhamu msiovuta bangi.

Haruna moshi ni mvuta bangi! Lazima a act hivo kwani bangi ndo inavo mtuma.

professinals!!

professinals!!

Kama kucheza nje ya nchi tu tayari ni Professional sasa kwa nini asiwaite wote walioko nje ya nchi maana nadhan wanazidi kumi na moja, Golikipa: Mwarami Mohamed (Msumbiji), Ivo Mapunda(Bandari Kenya), Mabeki: Idrisa Rajabu(Sofapaka), Yuko dogo mwingine Vital 'O simkumbuki jina, Victor Costa naye alikuwa nje, hao wanne kwenye post yangu hapo juu, Renatus Njohole, Babi, Samatta, Joseph Kaniki, Emmanuel Gabriel, Mgosi na Sasa Ngasa hawajafika kumi na moja tu?

Haruna moshi ni mvuta bangi! Lazima a act hivo kwani bangi ndo inavo mtuma.
Ndio maana alienda kufanya mazoezi,akakacha kwenda kwenye mechi Arusha,ajabu kweli.

Kwa kweli kutokuwepo kwa kocha mkuu Poulsen au msaidizi wake kulitia doa sana katika kutafuta vipaji vipya.Lakini Boban bado alichemka.

Kwa kweli kutokuwepo kwa kocha mkuu Poulsen au msaidizi wake kulitia doa sana katika kutafuta vipaji vipya.Lakini Boban bado alichemka.

Ni kweli mkuu Haruna ana matatizo yake na karibia viongozi wote pale TFF wanajua, lakini tuangalie pia Haruna kakaa zaidi ya mwaka bila timu, hakuna kiongozi wa TFF hata mmoja aliyejitokeza kumwongelea Haruna, na ninaamini wengi walifikiri kiwango kitaisha lakini baada ya Simba kumalizana na timu yake ya Sweden na kuona Kiwango chake kwenye mashindano ya Kagame ndo wakaona kumbe bado anafaa.

Haruna angeweza kuchezea timu ya Taifa hata kipindi hana timu mfano ni Stephen yule Capten wa Ghana alikaa takribani miaka miwili hana timu lakini aliendelea kuchezea timu yake ya Taifa.

Hapo umenena mkuu.

umenifanya ni login ili nikugongee li-thanks

Acha unazi,jadili hoja.Huyo Haruna huwezi kumlinganisha hata kwa robo tu ya hao kwenye red na wengineo kama marehemu Hamis Gaga 'Gagarino' tukizungumzia kipaji (acha huo ugenius uliokariri).

We ndio unaonekana unakariri hajakataa kama gagarino alikuwa ana kipaji nawe usikatae kama haruna ana kipaji,na sio unafuata tu mkumbo makosa ya kocha usimtupie haruna kocha alitakiwa awepo kwenye mashindano ya kagame ili amuone haruna na hata hivyo hahitaji degree kujua haruna anajua mpira kocha aliwahi muita machupa na said maurid na wala hajawaona ndio maana anatakiwa kuchagua wachezaji 30 na kwenye mazoezi awachuje wabakie 23 so angemuita kati ya hao 30 ili amuangalie asiporidhika nae amuache,tuachie haruna wetu mvuta bangi,mlevi,mshenzi sisi simba tunamkubali hivyo vitu vingine hata maofisi watu wanatabia hiyo na wachapakazi hodari

Mihadarati, Elimu, Kutojitambua umuhimu wa Kazi maishani, Kwa Tanzania Hii sasa hivi ataanza biashara ya Bajaji

Mihadarati, Elimu, Kutojitambua umuhimu wa Kazi maishani, Kwa Tanzania Hii sasa hivi ataanza biashara ya Bajaji

Sawa,lakini kama unakamata msuba na jamii inakuona na ni mchezaji unayefahamika ikae kimya?Nyie ndio mnaompoteza.

Nafikiri na umri ukianza kusogea atatia akili kidogo.

Haruna Moshi kitu anachotakiwa kufanya aende kwenye press conference atangaze anajitoa kuchezea timu ya taifa,inaonekana kuna watu wa TFF hawamtaki na yeye inaonekana hataki kuchezea timu ya Taifa

Haruna Moshi kitu anachotakiwa kufanya aende kwenye press conference atangaze anajitoa kuchezea timu ya taifa,inaonekana kuna watu wa TFF hawamtaki na yeye inaonekana hataki kuchezea timu ya Taifa
Yeye ndio hataki,maana aliitwa ajaribiwe.

pamoja na bangi zake lakini tunajua ni kwa nini alikataa kujiunga na hiyo team ya U23? tusije kumhukumu kw vile ni mvuta bange bila ya kujua undani wa kukataa kwake?

ameshazid 23 kama angekubal kwenda ingekuwa ni aibu kwake na kwa TFF

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…