Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Kamtwanga Vichwa Okwi... Hata Mbwa wa Polisi Mwanza wanamtambua...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambayo ni kuwa teja.hakuna jeshi linaloweza kushinda vita bila kuwa na askari wenye nidhamu. Boban hawezi kucheza mpira na kupata matunda mema kama ataendelea kuwa na story mbaya mbaya kila wakati. Aamue moja tu la kuachana na mpira atafute shughuli nyingine