Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Ambayo ni kuwa teja.hakuna jeshi linaloweza kushinda vita bila kuwa na askari wenye nidhamu. Boban hawezi kucheza mpira na kupata matunda mema kama ataendelea kuwa na story mbaya mbaya kila wakati. Aamue moja tu la kuachana na mpira atafute shughuli nyingine