Haruna Moshi Shaaban "BOBAN" aipeleka Friends Rangers Raundi ya 3 Kombe LA FA

b5-click

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,195
Reaction score
2,109
Monte's mkongwe tu..

Mwanetu Haruna Moshi Shaaban Mawela "Boban" akitokea benchi anaifungia timu yake ya Friends Rangers goli la pili na la ushindi dhidi ya Ashanti united na kuivusha timu yake kwenda hatua/raundi ya tatu.

Gumzo ni muonekano mpya wa boban akiwa na rasta "dreadlocks" mithili ya vijana wapiga rege toka jamaika al-maarufu kama "roots bwai"
 
huyu ya jamaa alikataa ulaya akafosi arudishwe bongo.... kisa hakuna ganja
 
Reactions: PNC
Bangi mbaya sana kwani imetuharibia huyu kijana hata ni kama gazeti la asubuhi mtu unalisoma jioni.Amacheza apate hela ya majani tu
 
Anaoga siku hizi akivuta ganja!!!! maana wakati wa ndondo cup nywele zilikuwa zinanuka moshi
 
Bangi mbaya sana kwani imetuharibia huyu kijana hata ni kama gazeti la asubuhi mtu unalisoma jioni.Amacheza apate hela ya majani tu
Bangi mbaya kwel.. Ila ganja salama kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…