b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,195
- 2,109
Mwanetu Haruna Moshi Shaaban Mawela "Boban" akitokea benchi anaifungia timu yake ya Friends Rangers goli la pili na la ushindi dhidi ya Ashanti united na kuivusha timu yake kwenda hatua/raundi ya tatu.
Gumzo ni muonekano mpya wa boban akiwa na rasta "dreadlocks" mithili ya vijana wapiga rege toka jamaika al-maarufu kama "roots bwai"