Haruna Niyonzima aongea kuhusu kutimka Yanga, mpaka sasa hajaongeza mkataba

Haruna Niyonzima aongea kuhusu kutimka Yanga, mpaka sasa hajaongeza mkataba

17075828_1366854783357873_7009282375330824192_n.jpg
Hiyo safari inatisha
 
Sijui ni kitu gani peoples wanakiona cha Kipekee sana kuhusu Niyo hata astahili coverage hii.

Sipingi kuwa ni Good Player. But hizi attention zote angestahili KAMUSOKO aliyecheza mechi nyingi sana last season.
Nipo na ww...
Hawa viongozi sijui matajiri uchwara wanapiga dili tuuu
Milioni 100 kwa mpira gani ? Hivi kuna timu ilikuwa na viungo wazuri km Simba ukiacha Kamusoko ?? Hawa majizi tu halafu wanatuongopea kutoa magari ya ovyo....nunua moja pata moja bure ,,,viksi
 
Back
Top Bottom