Hahaha nasikia wanamtangaza Leo bwana uchebeHahahaha, nasikia na uchebe PA kaonekana kwa ofc za Gharib GSM ,ni kweli?
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, kazi ipoHahaha nasikia wanamtangaza Leo bwana uchebe
Atatuwia radhi Mtani. π π πZile jezi walizochoma je
MTC | 101| [emoji769]
Ndo tulivyo Mtani. Hata Aussems kipindi yupo Mkia tulimuita Madevu ila ikitokea kaja Jangwani hatutaziona tena zile. π π πHahahaha, mpira wa Tanzania bana ,huwa akirudi Okwi hana njaa ,utasikia anarudi kwao ,ila huyu ana njaa
MTC | 101| [emoji769]
Haki π€π€π€Bali ni haki yangu kujua
Mtani utafanya Mkuu azimie huko. π πHahahaha, nasikia na uchebe PA kaonekana kwa ofc za Gharib GSM ,ni kweli?
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, hivi ni kweli mnamchukua?Ndo tulivyo Mtani. Hata Aussems kipindi yupo Mkia tulimuita Madevu ila ikitokea kaja Jangwani hatutaziona tena zile. [emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahaha, basi mtani naona unasajiri mpk makochaMtani utafanya Mkuu azimie huko. [emoji28][emoji28]
HahahahaAtatuwia radhi Mtani. [emoji28][emoji28][emoji28]
Maisha yanaenda kasi sanaπ π π Hatari Mtani.
#Sikwelibadotunamfikiria.
Wekeni na picha basi
Hahahaaa! Muje Uwanja wa Uhuru muone bonge la surprise. Muje muje ππππHahaha nasikia wanamtangaza Leo bwana uchebe
Yaani!! Naombea tu yote tunayoyafanya yawe ni yenye kheri kwetu ili kuepusha maneno ya kuudhi toka upande wa pili Mtani.Hahahaha, basi mtani naona unasajiri mpk makocha
MTC | 101| [emoji769]
Na mbwembwe mnaziweza aiseHahahaaa! Muje Uwanja wa Uhuru muone bonge la surprise. Muje muje ππππ
Yap yap! Sio Mchezo Mtani yaani mpaka tumempa Manara kazi ya kuwa mletaji wa habari za Yanga zilizovunjika. π€£π€£π€£Maisha yanaenda kasi sana
Naona mmeingiza maingizo mapya ya kutosha
Mpo vizuri
Nilikuwa naangalia sehemu Msemaji wa Yanga Hassan Bumbuli anasema katika mchujo ya Makocha walioomba kazi kwenye Timu ya wananchi na yeye yumo ila ndio bado haijajulikana kama ana sifa za kuwazidi wenzake alionao humo.Hahahaha, hivi ni kweli mnamchukua?
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, safari hii mtapigana wenyewe kwa wenyewe ,maana huu usajiri wa sasa ni wa Msola na MkwasaYaani!! Naombea tu yote tunayoyafanya yawe ni yenye kheri kwetu ili kuepusha maneno ya kuudhi toka upande wa pili Mtani.