Haruna Niyonzima asajiliwa tena Yanga

Haruna Niyonzima asajiliwa tena Yanga

Wekeni na picha basi
20191221_075807.jpg
 
Hahahaha, hivi ni kweli mnamchukua?

MTC | 101| [emoji769]
Nilikuwa naangalia sehemu Msemaji wa Yanga Hassan Bumbuli anasema katika mchujo ya Makocha walioomba kazi kwenye Timu ya wananchi na yeye yumo ila ndio bado haijajulikana kama ana sifa za kuwazidi wenzake alionao humo.

Hivyo anaeza au pia asiweze.
 
Back
Top Bottom