Haruna Niyonzima asajiliwa tena Yanga

Yap yap! Sio Mchezo Mtani yaani mpaka tumempa Manara kazi ya kuwa mletaji wa habari za Yanga zilizovunjika. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha ,mmewavuruga ,uzuri GSM nao ma master wale ,wanajua figisu + back up ya msoga

Nawatakia kila la kheri hiyo January 4 2020

MTC | 101| [emoji769]
 
Na mbwembwe mnaziweza aise
Yaani mmekuwaje Wadogo ni Yanga tu ndio tunatamba huko mitandaoni. 🀣 na ukiangalia mmesema hamsajili basi mnabakia kutoa macho tu Mtani. 🀣
Baada ya miezi 3 utasikia yikpe, adeyum ditram wadai malimbikizo yao ya miezi 3.
Haya tuko mbioni kuyatafutia ufumbuzi Mtani.

Hivyo Mtani tunywe Mtori nyama tutazikuta chini. 😎😎
 
Nilikuwa naangalia sehemu Msemaji wa Yanga Hassan Bumbuli anasema katika mchujo ya Makocha walioomba kazi kwenye Timu ya wananchi na yeye yumo ila ndio bado haijajulikana kama ana sifa za kuwazidi wenzake alionao humo.

Hivyo anaeza au pia asiweze.
Uchebe ataweza kweli hapo jangwani

MTC | 101| [emoji769]
 
Hahaha ostaz matola anawasubiria kwa hamu sana
 
Hahahaha ,mmewavuruga ,uzuri GSM nao ma master wale ,wanajua figisu + back up ya msoga

Nawatakia kila la kheri hiyo January 4 2020

MTC | 101| [emoji769]
Acha kabisa. Yaani saa hii viroho vinawadunda tu huko huku vikitamka "january nne" "january nne" "january nne" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Amiin Insha Allah. Naamini patachimbika Mtani. πŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…