Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Janja janja za GSM tumezigundua.Yap yap! Sio Mchezo Mtani yaani mpaka tumempa Manara kazi ya kuwa mletaji wa habari za Yanga zilizovunjika. 🤣🤣🤣
Alipe million 300 kwanza ya kubwa kuliko aliyoahidi.
Asitusahaulishe kwa kutulea kina niyonzima