ajibu ana miaka 23.humfahamu ibrahimu wewe nyamaza tu.,,njoo ilala uwanja garden uku umuulizie vizuri utapata majibuKwa maelezo ya Manara, wanamsajili Niyonzima(32) kufuta machungu ya kumpoteza Ajib (23)
Mbona nimekuelewa mdau! Na hata Ajib le comension der jier 2007 lieu majoremLestorofio Gone misto Niyonzima, lebrosonfito magreato demito [emoji16] [emoji16]. Kama hujanielewa hainihusu
hahahahahaha...kumbukumbu zinaonesha yanga mlichoma jezi za haruna niyonzimaKwa maelezo ya Manara, wanamsajili Niyonzima(32) kufuta machungu ya kumpoteza Ajib (23)
amesaini Lipuli Fc mkuuNiyonzima hajasaini Simba sc.
Sio vizuri kudanganya uma.
Wala sio lazima asaini Simba sc. Timu inawachezaji wengine na ni wazuri.
Simba sc, bila Niyonzima inawezekana.
KWA WAPENZI WA MPIRA
KWA WAPENZI WA MPIRAInajulikana kote duniani kuwa mtu akifikia umri wa kustaafu lazima ataelekea kwenye ofisi za mfuko wa hifadhi ya jamii. Mikia FC wanapumbazwa na usajili wa m'babu asiyeweza kucheza dkk 90 ilhali mambo klabuni yanatokota kati ya baraza la wadhamini na Bwana Moooo
Lete picha za ushahidi basi, ili tukuamini mkuu.amesaini Lipuli Fc mkuu
achana nao wachoma jezi fcWezi wa miwa wa mtibwa sc vp arosto imewakamata mpak mnaiba miwa ya watu
Kama umri ndio kigezo cha kiwango, basi golikipa mpya wa Yanga kutoka Serengeti Boys, Ramadhan Kabwili ni bora kuliko Aishi Manula wa Simba. Pia Malimi Busungu ni bora kuliko mkongwe Amisi TambweKwa maelezo ya Manara, wanamsajili Niyonzima(32) kufuta machungu ya kumpoteza Ajib (23)
Kweli kabisa.Kama umri ndio kigezo cha kiwango, basi golikipa mpya wa Yanga kutoka Serengeti Boys, Ramadhan Kabwili ni bora kuliko Aishi Manula wa Simba. Pia Malimi Busungu ni bora kuliko mkongwe Amisi Tambwe
Hata Ulaya mchezaji akichoka anaenda china au Marekani kula pensheniInajulikana kote duniani kuwa mtu akifikia umri wa kustaafu lazima ataelekea kwenye ofisi za mfuko wa hifadhi ya jamii. Mikia FC wanapumbazwa na usajili wa m'babu asiyeweza kucheza dkk 90 ilhali mambo klabuni yanatokota kati ya baraza la wadhamini na Bwana Moooo
Hahaaaaa umesema la maana Che mittoga,maana hawa jamaa hawachelewi kutupiga fiksi kama za pointi za Fifa
Kuigawa timu kivipi, Niyo hakuwa anabembelezwa bali alikuwa bado ana mkataba Yanga, walikuwa wanategea mkataba uishe japo alishasaini kitambo. Kumtangaza kabla ya kuisha kwa mkataba Yanga ineleta shida.
Pili Simba Day ni siku ya kukitangaza kikosi hasa kuwatambulisha wachezaji wapya. Kwa hiyo hata angesaini leo kesho Simba Day angecheza tu coz ni kwa ajili yake na wenzake. Ligi inaanza tarehe 28/8 na 23/8 ngao ya hisani
Kwamba Ajibu sio mzuri?ajibu ana miaka 23.humfahamu ibrahimu wewe nyamaza tu.,,njoo ilala uwanja garden uku umuulizie vizuri utapata majibu
KWA WAPENZI WA MPIRA
Mechi za leo
1. Yanga Vs Msamvu United
Uwanja: Shule ya msingi Kibindu
Muda: saa 10.00 jioni
2. Simba vs Orlando Pirates
Uwanja-Orlando Johannesburg
Muda-10.00 jioni
Nawatumia link ya kuangalia mechi hiyo ya pili na namba ya mwalimu Mkuu wa Sule ya Msingi Kibindu kwa ajili ya kuulizia matokeo ya mechi hiyo ya kwanza.
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app