Haruna Niyonzima Simba SC

Haruna Niyonzima Simba SC

Niyonzima hajasaini Simba sc.
Sio vizuri kudanganya uma.
Wala sio lazima asaini Simba sc. Timu inawachezaji wengine na ni wazuri.
Simba sc, bila Niyonzima inawezekana.
 
amesaini Lipuli Fc mkuu
 
KWA WAPENZI WA MPIRA

Mechi za leo

1. Yanga Vs Msamvu United
Uwanja: Shule ya msingi Kibindu
Muda: saa 10.00 jioni

2. Simba vs Orlando Pirates
Uwanja-Orlando Johannesburg
Muda-10.00 jioni

Nawatumia link ya kuangalia mechi hiyo ya pili na namba ya mwalimu Mkuu wa Sule ya Msingi Kibindu kwa ajili ya kuulizia matokeo ya mechi hiyo ya kwanza.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Inajulikana kote duniani kuwa mtu akifikia umri wa kustaafu lazima ataelekea kwenye ofisi za mfuko wa hifadhi ya jamii. Mikia FC wanapumbazwa na usajili wa m'babu asiyeweza kucheza dkk 90 ilhali mambo klabuni yanatokota kati ya baraza la wadhamini na Bwana Moooo

IMG-20170801-WA0010.jpg

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Kwa maelezo ya Manara, wanamsajili Niyonzima(32) kufuta machungu ya kumpoteza Ajib (23)
Kama umri ndio kigezo cha kiwango, basi golikipa mpya wa Yanga kutoka Serengeti Boys, Ramadhan Kabwili ni bora kuliko Aishi Manula wa Simba. Pia Malimi Busungu ni bora kuliko mkongwe Amisi Tambwe
 
Kweli kabisa.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Inajulikana kote duniani kuwa mtu akifikia umri wa kustaafu lazima ataelekea kwenye ofisi za mfuko wa hifadhi ya jamii. Mikia FC wanapumbazwa na usajili wa m'babu asiyeweza kucheza dkk 90 ilhali mambo klabuni yanatokota kati ya baraza la wadhamini na Bwana Moooo
Hata Ulaya mchezaji akichoka anaenda china au Marekani kula pensheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuigawa timu kivipi, Niyo hakuwa anabembelezwa bali alikuwa bado ana mkataba Yanga, walikuwa wanategea mkataba uishe japo alishasaini kitambo. Kumtangaza kabla ya kuisha kwa mkataba Yanga ineleta shida.

Pili Simba Day ni siku ya kukitangaza kikosi hasa kuwatambulisha wachezaji wapya. Kwa hiyo hata angesaini leo kesho Simba Day angecheza tu coz ni kwa ajili yake na wenzake. Ligi inaanza tarehe 28/8 na 23/8 ngao ya hisani

Tunasubiri mikataba yake
 
KWA WAPENZI WA MPIRA

Mechi za leo

1. Yanga Vs Msamvu United
Uwanja: Shule ya msingi Kibindu
Muda: saa 10.00 jioni

2. Simba vs Orlando Pirates
Uwanja-Orlando Johannesburg
Muda-10.00 jioni

Nawatumia link ya kuangalia mechi hiyo ya pili na namba ya mwalimu Mkuu wa Sule ya Msingi Kibindu kwa ajili ya kuulizia matokeo ya mechi hiyo ya kwanza.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app

Huko South mmeshachomekwa kimoko
 
Back
Top Bottom