moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Sasa mtu amecheza foul na alikuwa na yellow ulitaka refa amiachie kisha anacheza na Yanga??Kwa maamzi ya kupunguza mchezaji,hakika Tanzania bora tu timu nyingine ziache kuchezea pesa.Yanga apewe tu hilo kombe maana TFF ndio wameamua hivyo.
Kuna watu wanajifanya hawaelewi sheria za mpira.Sasa mtu amecheza foul na alikuwa na yellow ulitaka refa amiachie kisha anacheza na Yanga??
Kwa maamzi ya kupunguza mchezaji,hakika Tanzania bora tu timu nyingine ziache kuchezea pesa.Yanga apewe tu hilo kombe maana TFF ndio wameamua hivyo.
wenye ligi tumerudi...simba ajiandae kurudi nafasi aliyoizoea!Haruna Niyonzima aipa ushindi Yanga kwa goli la dakika za lala salama.. Goli la kwanza lilifungwa na Saimoni Msuva dk ya 3 tu ya mchezo.
Ft, Yanga 2 Mwadui 1
N/B:
1. Simba 57
2. Yanga 56
Yanga bado ina mchezo mmoja mkononi.
Azam pia kashinda dhidi ya Mtibwa 1-0
nini maoni yako???
Uzuri miaka hii ya teknolojia watu hawadanganyiki wanaona dhahiri mtu kacheza faulo kisha watu wana lalamika na tayari alikuwa na kadi ya njano.Sasa mtu amecheza foul na alikuwa na yellow ulitaka refa amiachie kisha anacheza na Yanga??
Wenye ligi tumerudi simile tupite!wenye ligi tumerudi...simba ajiandae kurudi nafasi aliyoizoea!
Simba masikini....na mwaka huu hapandi ndege tena...maana shirikisho kishatolewa na huku ndo anaachia ngazi...Wenye ligi tumerudi simile tupite!
Aaaah ukicheza na anayeujua lazima utamchezea rafu tu na haya ndo matokeo yakesimba vs yanga
simba red card
yanga vs ndanda
ndanda red card
yanga vs kagera
kagera red card
yanga vs mwadui
mwadui red card
ngoma hakabiki dogosimba vs yanga
simba red card
yanga vs ndanda
ndanda red card
yanga vs kagera
kagera red card
yanga vs mwadui
mwadui red card
Unataka mtu aingie na shoka ndiyo apewe kazi.Kwa maamzi ya kupunguza mchezaji,hakika Tanzania bora tu timu nyingine ziache kuchezea pesa.Yanga apewe tu hilo kombe maana TFF ndio wameamua hivyo.
Ndiyo maana yake. Na bado wanapewa sana hadi wacheze mpira badala ya kutaka kumuumiza!simba vs yanga
simba red card
yanga vs ndanda
ndanda red card
yanga vs kagera
kagera red card
yanga vs mwadui
mwadui red card
n Al-Ahly vs. Young AfricaNdiyo maana yake. Na bado wanapewa sana hadi wacheze mpira badala ya kutaka kumuumiza!