Haruna nyionzima aipa ushindi Yanga toka kwa goli la dakika za lala salama

Haruna nyionzima aipa ushindi Yanga toka kwa goli la dakika za lala salama

Donald Ngoma hakabiki hapa TZ ,mkicheza faulu mtapata kadi hakuna namna,
 
Ha haaa mie niko salama namshangaa Zamaulid na maneno yake ya kujipa faraja hayo
Haya maisha tu kujipa faraja muhimu sana. Ila Young Africans bingwa msimu huu

Hata wewe unaweza fanya hivyo Linamo
 
Ndo ujue hakuna timu inayoiweza yanga. Kwa maana kushindwa kuhimili mchezo wetu ndo maana wanacheza faulu nyingi.
simba vs yanga
simba red card

yanga vs ndanda
ndanda red card

yanga vs kagera
kagera red card

yanga vs mwadui
mwadui red card
 
Wavuta bangi wote wanachukua sana red card. Ngoma yupo juu sana.
Huyo Julio alipigwa nane akiwa Coastal Union
 
Haruna Niyonzima aipa ushindi Yanga kwa goli la dakika za lala salama.. Goli la kwanza lilifungwa na Saimoni Msuva dk ya 3 tu ya mchezo.

Ft, Yanga 2 Mwadui 1

N/B:
1. Simba 57
2. Yanga 56
Yanga bado ina mchezo mmoja mkononi.

Azam pia kashinda dhidi ya Mtibwa 1-0

nini maoni yako???
ubingwa Jangwani......
 
Back
Top Bottom