Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Hawa jamaa huwa wanashinda kwa 10 vs 11simba vs yanga
simba red card
yanga vs ndanda
ndanda red card
yanga vs kagera
kagera red card
yanga vs mwadui
mwadui red card
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa huwa wanashinda kwa 10 vs 11simba vs yanga
simba red card
yanga vs ndanda
ndanda red card
yanga vs kagera
kagera red card
yanga vs mwadui
mwadui red card
Yupi anayejua labda? Lol jerry Muro anawadanganya nyieAaaah ukicheza na anayeujua lazima utamchezea rafu tu na haya ndo matokeo yake
Mbona umekuwa mkali hivyo?Yupi anayejua labda? Lol jerry Muro anawadanganya nyie
Tutakuwekea pia clip ya Haji Manara akiropokaBaadae mniwekee clip ya Jerry Muro akibwabwaja kwani sina access ya kumpata.
Ha haaa mie niko salama namshangaa Zamaulid na maneno yake ya kujipa faraja hayoMbona umekuwa mkali hivyo?
Upo salama lakini?
11 vs 11 pia inawezekanaLol sijui Kama inawezekana labda kwa 10 vs 11
Haiwezekani11 vs 11 pia inawezekana
simba vs yanga
simba red card
yanga vs ndanda
ndanda red card
yanga vs kagera
kagera red card
yanga vs mwadui
mwadui red card
ubingwa Jangwani......Haruna Niyonzima aipa ushindi Yanga kwa goli la dakika za lala salama.. Goli la kwanza lilifungwa na Saimoni Msuva dk ya 3 tu ya mchezo.
Ft, Yanga 2 Mwadui 1
N/B:
1. Simba 57
2. Yanga 56
Yanga bado ina mchezo mmoja mkononi.
Azam pia kashinda dhidi ya Mtibwa 1-0
nini maoni yako???
Acha hizo basiHaiwezekani