Sare napata wapi sasahahahaha@princessAnne umenifurahisha !nimeachika mwaya !mume nimempata hapa hapaaaa jf! ndoa hiv karibuni !hakuna kadi njoo na sare ya dera tu
Sare napata wapi sasa
Nasubiriaaa[emoji4]utaipata soon mamy !natafuta dera lenye mremetoooo tung'ae juani weeeee@nalendwa
Kisukuma inaruhusiwa kuoa wanawake wawili lakin kidin haiko hivyo labda uwe bi mdogounataka kutuchanganya na rafiki yangu sio.sikubali labda utuoe wote
Haaa, kumbe?mbona bado ananitongoza? huyo nanyupu
halafu anaoaje mke wa mtu?
Mkuu watu wako wa karibu hao wamenipa habari hizi za kunisononeshaMkuu nan kakupa hiz taarifa maana haya mambo tunayafanya kwa siri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu sema kweli?Huyo mbiti si mke wa mtu jamani na ana watoto wawili nmmh
Ni mambo ya ajabu sana kiukweliHuyo mbiti si mke wa mtu jamani na ana watoto wawili nmmh
Hahah, ila mama picha za harusi zenye shows za vigodoro hua zinakuja kama virus kwenye my state-of-the-art smartphone hivyo si bora kuntumiadonlucchese nitakutumia picha za harus yetu soon hapa nipo saloon napaka wanja !umenifurahisha sana aic!
heheheh narembwa km jini vile! lol
Mkuu kumbe na wewe ulikua unategemea 'muamala' huo?Asee nimepoteza bahati, jamaa kaniwahi
Hahah, ila mama picha za harusi zenye shows za vigodoro hua zinakuja kama virus kwenye my state-of-the-art smartphone hivyo si bora kuntumia
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaa mama weeeee mie nakufa jaman !khaa shoga@heavensent njoo umuone huyu mkaka na mashauzi yake jaman !nimechekasana jaman
Basi basi, Napunguza machungu unajua inaumizahahahah nakuangalia tu