Harusi hiyoo, harusi hiyooo harusi imeshatimiaaa....!!!!

kwenye mambo ya movie mie ni zero!sio mpenzi hata kidg jaman huwa nasinzia !mie nimwage muziki niache nipe nafasi usinighasi ! utanipenda
Usijali mama, wewe kwa raha zako. Sa sijui unapenda liveband au aina gani ila nafkiri pale Hyatt Regency level eight still kuna zile gala nights wanakua wanapiga vyombo taraatib huku unashushia mvinyo au labda twende Addis in Dar. Chaguo lako mAMa, ila ni vyema pia kama unahitaji kwenda na bw nanyupu katika show ya msanii pendwa msagasumu anayetesa na kibao chake cha mwanaume mashine itakayofanyikia pale mlandizi maeneo ya kilangalanga....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jaman ninacheka haaaaaaaaaahhhhhhaaaaaaaaaaaaa !mama weee!dah kuna matusi dunian jaman!ahhahhhahh! nakosa la kujibu jaman !yaan mume aende kwa masaga sumu kweli !hahaha sasa hv mdogo wangu katoka nichezea kisingeli !kwakweli nacheka tu
 
Weekend nipo tu don
Karibu mkuu, mi hapa nachagua sijui muvi gani nikomae nayo hapa saivi maana nshachek kama mbili hivi...
IMG_20170908_222430.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom