Harusi hiyoo, harusi hiyooo harusi imeshatimiaaa....!!!!

Harusi hiyoo, harusi hiyooo harusi imeshatimiaaa....!!!!

mama yako alikuzaa kwa nyuma wewe .kwanini huna baba hadi leo .usiniletee stress zako nishakuambia pambana na hali yako mtoto wa kahaba wewe
kumbe ulizaa kwa kupitia nyuma? pole sana mama kahaba!
ndo uniambie mama kahaba vp baba alikutelekeza baada ya kuona jamvi la wageni???
 
Jamani kuoa raha, kuolewa ni furahaa harusi imeshatimiaaa........
Congrats nyingi kwa ndugu yangu nanyupu kwa maana kwa taarifa za kiintelejensia nilizozipata ni kwamba umefanikiwa kupenya ngome na kwenda kutoa posa kwa kina mbitiyaza ili uweze kuchukua jiko jumla jumla. Lakini namini kufa kwa imamu si mwisho wa ibada, ngoja sasa nitumie mbinu za kijasusi na za weledi wa hali y juu kuhakikisha swala hili halifanikiwi. Pole sana kwa kutojua kwamba baadhi ya unaowaita mashemeji zako wanaplay kama double agents na wamekua watu muhimu sana kuweza kunipa vital information mbali² kuhusu wewe na mbitiyaza na kama unavyojua in my line of work, information is an expensive commodity hivyo baas tegemea surprise flan amazing punde si punde

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nan kakupa hiz taarifa maana haya mambo tunayafanya kwa siri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mbiti si mke wa mtu jamani na ana watoto wawili nmmh



hahahaha@princessAnne umenifurahisha !nimeachika mwaya !mume nimempata hapa hapaaaa jf! ndoa hiv karibuni !hakuna kadi njoo na sare ya dera tu
 
Miss Natafuta usipanic mwaya !sasa hv hakuna mwanaume wa peke yako!wanaume wamekuwa 'bizaa' adimu jaman ! tukubali na hali halisi ! na vile hatuna uswahili swahili nahakika tutaishi kwa aman tu !sema sasa huyu nanyupu siku tumfumanie kapata kimadaaaa hehehe! aiseee atajuta ! bas naamini mume wetu anatupenda mabonge!

tupendane tu !
 
Back
Top Bottom