Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Feb 21, 2025 #61 Fundi manyumba said: Sawa sawa tafuta kazi halali fanya ya kukupa chochote kitu kwa siku Click to expand... Unadhani naishi kwa hisani ya nyanya yako π
Fundi manyumba said: Sawa sawa tafuta kazi halali fanya ya kukupa chochote kitu kwa siku Click to expand... Unadhani naishi kwa hisani ya nyanya yako π
Al-mukheef JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 3,727 Reaction score 3,777 Feb 21, 2025 #62 Fundi manyumba said: Wakuu tuwe na utaratibu wa kutembea tembea kutafuta kazi za kufanya. Kazi zipo Kazi zipo Vibarua vipo..kijana pambana ni mda wako huu Click to expand... Kazi ni kulima tu!!!
Fundi manyumba said: Wakuu tuwe na utaratibu wa kutembea tembea kutafuta kazi za kufanya. Kazi zipo Kazi zipo Vibarua vipo..kijana pambana ni mda wako huu Click to expand... Kazi ni kulima tu!!!
Al-mukheef JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 3,727 Reaction score 3,777 Feb 21, 2025 #63 Red black said: Mkuu, ulipigiza kichwa au? mbona kama mafile yanaingilina. Click to expand... Hehehe
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 9,530 Reaction score 20,988 Feb 21, 2025 #64 Fundi manyumba said: Wakuu tuwe na utaratibu wa kutembea tembea kutafuta kazi za kufanya. Kazi zipo Kazi zipo Vibarua vipo..kijana pambana ni mda wako huu Click to expand... Katika tembea tembea unaweza okota nyumba au gari
Fundi manyumba said: Wakuu tuwe na utaratibu wa kutembea tembea kutafuta kazi za kufanya. Kazi zipo Kazi zipo Vibarua vipo..kijana pambana ni mda wako huu Click to expand... Katika tembea tembea unaweza okota nyumba au gari
B Bolotoba JF-Expert Member Joined Apr 24, 2024 Posts 3,424 Reaction score 7,706 Feb 21, 2025 #65 Picha linaanza kumbe ulinunua na mafoil za kufungua manofu π€£ya nyama Asante sana kwa wanakamati