Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Unadhani naishi kwa hisani ya nyanya yako 😊Sawa sawa tafuta kazi halali fanya ya kukupa chochote kitu kwa siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani naishi kwa hisani ya nyanya yako 😊Sawa sawa tafuta kazi halali fanya ya kukupa chochote kitu kwa siku
Kazi ni kulima tu!!!Wakuu tuwe na utaratibu wa kutembea tembea kutafuta kazi za kufanya.
Kazi zipo
Kazi zipo
Vibarua vipo..kijana pambana ni mda wako huu
HeheheMkuu,
ulipigiza kichwa au?
mbona kama mafile yanaingilina.
Katika tembea tembea unaweza okota nyumba au gariWakuu tuwe na utaratibu wa kutembea tembea kutafuta kazi za kufanya.
Kazi zipo
Kazi zipo
Vibarua vipo..kijana pambana ni mda wako huu