Harusi kali Jumamosi iliyopita...

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,692
Bwana harusi alipoulizwa tu " Una kitu gani kama ishara ya upendo wenu?"

Akafunguazi pu akaitoa na kuanza kuiingiza kwa mkewe pole pole.
Watu wakaduwaaa!!!!!

Bibi harusi naye akaing'ang'ania hadi ikaingia yoooteee!!!!

Basi watu wote pale wakashangilia kwa nguvu na kupiga makofi kwani wao wote hawakuamini kwa jinsi ambavyo ilikuwa inaingia ile PETE YA NDOA.......!

Ni upendo wa hali ya juu jamani ............................!!!
 
Nilidhani jamaa aliingiza dhakaar...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…