bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 836
- 2,805
Je ameulizia kuhusu baba wa binti au hao ndugu wa baba yake binti akajua A to Z?Una wazo kuntu ila umeshindwa kuwasilisha vizuri
Acha ukuda umealikwa kwenye harusi hata msosi hujala tayari unaanza kumsema bibi harusi aone aibuWatoto wa masingle mother mmevamia huu uzi
Aibu ya nini sasa??Nipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu
mean kijana kaenda kuoa binti alielelewa na single mother na hakuwa na mahusiano mazuri na baba zake
Na kumbe wamajaa hapa aisee unaona kabisa kumbe tatizo kubwaWatoto wa masingle mother mmevamia huu uzi
Tafuta mume uolewe bro, labda itakusaidia kidogo.Watoto wa masingle mother mmevamia huu uzi
Kwani hao baba zake ndio wanaenda kuolewa?Nipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu
mean kijana kaenda kuoa binti alielelewa na single mother na hakuwa na mahusiano mazuri na baba zake
Kumbe tena ni broTafuta mume uolewe bro, labda itakusaidia kidogo.