Harusi meza kuu bibi harusi hakuna baba wala baba wadogo. Mabinti hamuoni aibu

Mtoto wa kike huwa ni mtoto wa Baba, ila akibikriwa tu, mapenzi kwa baba yanahamia kwa wanaomkunja. Kama binti alibikriwa akiwa mdogo less than 18 (ambayo ni kawaida kwa watoto wa singo mum), hawezi kumfikiria baba hata mara moja na vile hajawahi kukutana naye.
Sasa mapenzi ya baba yanafananishwa vp na mapenzi ya aliyembikiri?
 
Kuna mahali ndoa inahitaji testimonies za wanaokuzunguka, unafanya makosa ila ukiangalia familia yako, ndugu zako unaona mbona nazingua, familia yangu wote wametulizana, why not me. Ila unaangalia dada zako, kaka, wajomba, nk wengi walishaachana, nani anakupa motisha kupigania ndoa yako?
Kama unaangalia ndugu zako, familia yako na wanaoukuzunguka ili ndoa yako isimame au kudumu haukupaswa kuoa au kuwa kwenye ndoa kabisa. Uko kwenye show off tu kwamba na wewe una ndoa, ni maisha ya ujima na akili ndogo hayo.

Kwanza ni ujinga kusema unapiginia ndoa, kwani ndoa ni vita hadi uipiganie.
 
Kuna scenario zinaeleweka, kukataliwa, kukimbiwa, kufiwa nk. Ila haiondoi fact ya mleta mada kwamba sio fair kwa binti/kijana na hakustahili hayo mawe.
Maisha sio fair kwa watu wengi kuanzia watu wanaoteseka kwenye umasikini wakati wakifanya kila jitahada, watu waliokuwa vilema kwenye ajali za uzembe wa madereva mpka wafungwa wa kisiasa na waliosingiziwa kesi kama wakina Lissu walioko gerezani. Huo ndio uhalisia wa maisha na wala hakuna cha kushangaza.
 
Kama unaangalia ndugu zako, familia yako na wanaoukuzunguka ili ndoa yako isimame au kudumu haukupaswa kuoa au kuwa kwenye ndoa kabisa. Uko kwenye show off tu kwamba na wewe una ndoa, ni maisha ya ujima na akili ndogo hayo.

Kwanza ni ujinga kusema unapiginia ndoa, kwani ndoa ni vita hadi uipiganie.
Unataka niangalie familia ya nani kama role model wa ndoa yangu? Kama hujui ndoa zina ups and downs, nyakati za furaha na nyakati za kukata tamaa, vipindi vya kupendana na vipindi vya upendo kupoa wewe huijui ndoa, kaa bachelor tu. Hizo ndio nyakati unahitaji nguvu ya ziada kuhakikisha unaipalilia ndoa yako idumu. Ukiona watu wapo 30+yrs kwenye ndoa unadhani ni rollercoaster?

Wewe usipiganie ya kwako, acha itiririke tu utaleta majibu hapa(kama utakuwa na audacity)
 
Maisha sio fair kwa watu wengi kuanzia watu wanaoteseka kwenye umasikini wakati wakifanya kila jitahada, watu waliokuwa vilema kwenye ajali za uzembe wa madereva mpka wafungwa wa kisiasa na waliosingiziwa kesi kama wakina Lissu walioko gerezani. Huo ndio uhalisia wa maisha na wala hakuna cha kushangaza.
Kwa upande huo, tunaongelea ndoa na maisha yake. Fairness haipo kila mahali, mtu kaja na mma wadogo tu kwenye ndoa unadhani huyo muoaji anaona sawa, ni basi tu!!
 
Unataka niangalie familia ya nani kama role model wa ndoa yangu? Kama hujui ndoa zina ups and downs, nyakati za furaha na nyakati za kukata tamaa, vipindi vya kupendana na vipindi vya upendo kupoa wewe huijui ndoa, kaa bachelor tu. Hizo ndio nyakati unahitaji nguvu ya ziada kuhakikisha unaipalilia ndoa yako idumu. Ukiona watu wapo 30+yrs kwenye ndoa unadhani ni rollercoaster?

Wewe usipiganie ya kwako, acha itiririke tu utaleta majibu hapa(kama utakuwa na audacity)
Hakuna maana yoyote ya kuwa kwenye ndoa hata ya miaka 40 kama hiyo ndoa ni ya kuipigania na kuipalilia.
Hakuna medali au kombe unapata kwa kuwa kwenye ndoa muda mrefu. Mtu mwenye akili anakuwa kwenye ndoa kwa sababu tu mwenza wake anampa furaha na wanapendana.

Sasa kama mko kwenye ndoa kwa sababu mnaangalia ndoa nyingine na ndugu zenu hiyo sio ndoa ni ndoano au jela ya kudumu ya mahusiano.
 
Furaha hupewi na mtu, mtu wa pili ana-complement amani na furaha uliyonayo. Kama unaingia kwenye ndoa ili upewe furaha na amani acha kabisa kuingia maana hutaipata.

Yes, tupo kwenye ndoa, sio tu kwamba tunaangalia za ndugu, ila hata tukioa tunaangalia tunaowaoa wanatoka familia za namna gani. Nenda kaoe familia yenye single parents them come back here...
 
Kwa kweli huu uzi wadau wanepaniki, sijashuhudia panic ya hivi mda mrefu sana.

Hata hivyo, mleta mada yupo sahihi, sherehe kufanyika huku upande mmoja hauonekani, hata kijana anayeoa kama yupo timamu lazima ajihoji, nini hiki?

Sema, kwa dunia ya leo single parenting ndio fashion, usishangae watu wakipanic.
Haya maisha tuache ku compare sana mambo huyo binti unajua mpaka meza inakua tupu nini kimepelekea

Unadhani yeye asingependa hiyo meza ijae familia kama za wengine?

Unavyosema huyo kijana inabidi ajitafakari kwani yeye anaoa familia ya binti au binti mwenyewe

Mpka anafikia hatua ya kuoa si amemchunguza

Maisha ya siri nyingi kama wewe familia yako imekamilika kuanzia ma babu mapka mabibi kheri yako

Lakini binti wa watu asi
anonekana wa ajabu kosa lake ni nini?
 
Sasa mapenzi ya baba yanafananishwa vp na mapenzi ya aliyembikiri?
Sijui kama mwenzetu una uzoefu na biological daughters! Mtoto wa kike anakuwa yupo karibu na baba yake. Atampenda sana kiasi mama yake anaweza kuanza kumchukia bintiye. Lakini akipata Boyfriend tu, anamhama baba yake taratibu. Akisha gungulanywa tu, anamuona baba kama wanaume wengine, hata heshima aliokuwa anampa au ukaribu naye unapungua. Ndivyo tunavyojua kama binti kaanza mahusiano.
 
Haya maisha tuache ku compare sana mambo huyo binti unajua mpaka meza inakua tupu nini kimepelekea

Unadhani yeye asingependa hiyo meza ijae familia kama za wengine?

Unavyosema huyo kijana inabidi ajitafakari kwani yeye anaoa familia ya binti au binti mwenyewe

Mpka anafikia hatua ya kuoa si amemchunguza

Maisha ya siri nyingi kama wewe familia yako imekamilika kuanzia ma babu mapka mabibi kheri yako

Lakini binti wa watu asi
anonekana wa ajabu kosa lake ni nini?
Zama zinabadilika, hadi tumefikia zama za kukutana tu na kupelekana kwa wazazi "tumeshapendana" tayari. Lakini zama hizo huwezi kujichukulia tu, wazazi watafuatilia hadi background ya unapotaka kuoa, na hicho kilikuwa kigezo kikubwa sana, usingeweza kuoa familia ambayo watu waliachika hata kidogo, ungekataliwa.

Hatumjaji muolewaji, tunasema sio sawa kuwaweka mama wadogo na wajomba wakati huyu mtu ana baba, basi hata mwakilishi wa baba awepo jamani, huyu mtu hajatumwa toka mbinguni, kazaliwa na wazazi wawili.
 
Sijui kama mwenzetu una uzoefu na biological daughters! Mtoto wa kike anakuwa yupo karibu na baba yake. Atampenda sana kiasi mama yake anaweza kuanza kumchukia bintiye. Lakini akipata Boyfriend tu, anamhama baba yake taratibu. Akisha gungulanywa tu, anamuona baba kama wanaume wengine, hata heshima aliokuwa anampa au ukaribu naye unapungua. Ndivyo tunavyojua kama binti kaanza mahusiano.
Kwamba mapenzi ya baba ndio hayo hayo mapenzi ya boyfriend?
 
Zama zinabadilika, hadi tumefikia zama za kukutana tu na kupelekana kwa wazazi "tumeshapendana" tayari. Lakini zama hizo huwezi kujichukulia tu, wazazi watafuatilia hadi background ya unapotaka kuoa, na hicho kilikuwa kigezo kikubwa sana, usingeweza kuoa familia ambayo watu waliachika hata kidogo, ungekataliwa.

Hatumjaji muolewaji, tunasema sio sawa kuwaweka mama wadogo na wajomba wakati huyu mtu ana baba, basi hata mwakilishi wa baba awepo jamani, huyu mtu hajatumwa toka mbinguni, kazaliwa na wazazi wawili.
Okay
 
Msiwatwishe watoto mizigo yenu. Ni wajibu wa mzazi kumtafuta mtoto wake na sio wa mtoto. Kama umeamua kutokuwa katika maisha ya mtoto wako ni kwanini uone una haki ya kutafutwa?
Espy_ umeona watoto wanaojitambua
endelea....
 
Back
Top Bottom