Baada ya kusoma comments za uzi huu! Inaonesha wengi humu ndani aidha ni single mothers au product zao. Mleta uzi yupo sahihi kwani mtoto ana pande mbili. Baba na mama, hata angelikuwa mtoto wa Padre anayefichwa kama madawa ya kulevya.Nipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu
mean kijana kaenda kuoa binti alielelewa na single mother na hakuwa na mahusiano mazuri na baba zake
Mtoa mada anamlaumu binti kwa vile alitakiwa amtafute baba baada ya kujitambua. Huo ni wajibu pia wa mtoto, si Mzazi pekee