Harusi meza kuu bibi harusi hakuna baba wala baba wadogo. Mabinti hamuoni aibu

Harusi meza kuu bibi harusi hakuna baba wala baba wadogo. Mabinti hamuoni aibu

Nipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu

mean kijana kaenda kuoa binti alielelewa na single mother na hakuwa na mahusiano mazuri na baba zake
Hahahaha,Kuna Moja hiyo imefungwa juzi juzi, yaani kuanzia Mama wa bi harusi , Single mother,, mama wadogo nao single mother wako wa 4 wote single mother, Shangazi Yao mkubwa naye single mother, usikute ndio hii unayosema Mkuu
 
Baada ya kusoma comments za uzi huu! Inaonesha wengi humu ndani aidha ni single mothers au product zao. Mleta uzi yupo sahihi kwani mtoto ana pande mbili. Baba na mama, hata angelikuwa mtoto wa Padre anayefichwa kama madawa ya kulevya.

Mtoa mada anamlaumu binti kwa vile alitakiwa amtafute baba baada ya kujitambua. Huo ni wajibu pia wa mtoto, si Mzazi pekee
Na ndio wamevamia humu ukiona binti kaolewa hakuna baba alieonzesha kimbia products za single mother hizo
 
Back
Top Bottom