Bro bana, ina maana wamarekani ndio wenye copyright ya kucheka? tena ukiwangaalia kwa karibu utahisi wanafanana.
Wamarekani ndio kucheka mandatory katika picha, hata kama mtu kakasirika kabla ya kupigwa picha utawasikia "say cheese!". Tangu watoto wadogo wanafundishwa ni lazima ku smile kwenye picha regardless of how you feel, fake smiles and fake optimism.
Sasa watu wanaoana, wana anxiety, hawajui maisha ya ndoa yataoffer nini, partly wako optimistic, partly hawajui kitakachotokea, faces zina super neutral expressions.Precisely the correct expression if you ask me.
Tatizo tushazoea fiction za plastic smiles tukipewa nyuso za watu wanavyojisikia kweli tunaona there is something wrong.
Wengine wameona hii picha iko real kwa sababu haina shela na vimbwanga vya materialism, mimi naenda one step further, hii harusi iko real zaidi kwa sababu haina hata a plastic smile.
As real as it gets, hawajenda kwa wedding planner wala nini hao.
Yaani kama unazielewa expression za kibongo hizo expression hapo juu ni epitomy ya heshima na unyenyekevu, hawa waliona muhimu zaidi ku portray heshima na unyenyekevu katika picha yao ya harusi kuliko furaha.
First of all utafurahi vipi kikweli katika nchi ya mafisadi kama na wewe si fisadi? And by the looks they hardly fit the fisadi bill.