Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hujaangalia vema, wana tabasamu pana sana! Au wewe huoni?Mbona wanatia huruma? hawacheki? walilazimishwa kuuoana?
Mkuu hujaangalia vema, wana tabasamu pana sana! Au wewe huoni?
Nini hicho,hebu tuelezee.Kama ni harusi hawa lazima wamefumaniwa sasa wamelazimishwa waoane,hawawezi nuna jinsi hiiNimeangalia VEMA na sawia kuna kitu hii picha inaelezea zaidi.
Mbona wanatia huruma? hawacheki? walilazimishwa kuuoana?
Wacheke kwani Wamarekani hao?
Bro bana, ina maana wamarekani ndio wenye copyright ya kucheka? tena ukiwangaalia kwa karibu utahisi wanafanana.
Sasa watu wanaoana, wana anxiety, hawajui maisha ya ndoa yataoffer nini, partly wako optimistic, partly hawajui kitakachotokea, faces zina super neutral expressions.Precisely the correct expression if you ask me.
Nimecheka hadi basi kwa vile nimelinganisha na picha yenyewe..... sasa kama walikuwa hawajui what future hold for their marriage why did they go for it?
Do you know the outcome of everything you engage in? Unapotoka nyumbani asubuhi kwenda kazini unajua kwamba utafika?
Nataka ufikirie kwa makini nini maana ya neno kujua kabla ya kujibu.