Harusi nyingi zimekosa ubunifu... zinaboa!

Harusi nyingi zimekosa ubunifu... zinaboa!

Ukifanya harusi ya watu watano, anayeoa, anayeolewa, mashahidi wawili na muwakilishi wa wengine wote mmoja inatosha sana.

Tatizo tunaendekeza ufahari.
 
Back
Top Bottom