Harusi: Usiku wa Ali na Abdu Kiba

mimi hata iuzwe elfu kumi nitanunua kwanza nasikia inaongeza siku za kuishi duniani ukinywa hicho kinywaji
Hii biahara lazima uangalie bei za mpinzani wako,ktk hili mpinzani wake ni Malta,Mo Energy na Azam Energy drink,kwa hiyo you have to put a reasonable price la sivyo unaweza usifanye vizuri sokoni.
 
Hii biahara lazima uangalie bei za mpinzani wako,ktk hili mpinzani wake ni Malta,Mo Energy na Azam Energy drink,kwa hiyo you have to put a reasonable price la sivyo unaweza usifanye vizuri sokoni.
unajua bei ya kungfu energy sokoni shillingi ngapi?
 
Hii biahara lazima uangalie bei za mpinzani wako,ktk hili mpinzani wake ni Malta,Mo Energy na Azam Energy drink,kwa hiyo you have to put a reasonable price la sivyo unaweza usifanye vizuri sokoni.
Wapinzani wake Sio hivyo vijwaji ulivyo vitaja,... wapinzani wake ni Redbul, Baltika na kile cha joti jina nimelisahau
 
Hii biahara lazima uangalie bei za mpinzani wako,ktk hili mpinzani wake ni Malta,Mo Energy na Azam Energy drink,kwa hiyo you have to put a reasonable price la sivyo unaweza usifanye vizuri sokoni.
.
ah ah ah mkuu acha komedi,,kwny upinazni,wapinzani wa kiba kwa bidha mofaya ni cocacola na pepsi,utajiuliza kvp,coca anamiliki nos,burn na Relentless wakati pepsi wao wana amp,starbucks lakn no fear washaiuza,,vle vle mpnzan mwngne ni monster tho coca anahisa hpa,,hvyo 'vdude' ulvyotaja hapo vya jelo mpk mia6 sio size yake,n km nyagi na gongo,zte kali bt grade tofauti
 
Wapinzani wake Sio hivyo vijwaji ulivyo vitaja,... wapinzani wake ni Redbul, Baltika na kile cha joti jina nimelisahau
Mofaya ni energy drink ,MO na Bakheresa wanazo hizo hizo energy drink ,kama Azam energy drink nishawahi kunywa mara moja ila sijavutiwa nayo.
 
Ila vyote si Energy Drink au ndio unataka kuleta ubishi wa SIDE na SAID kama ya Azam nishawahi kuinywa ila haikunivutia na kumbuka Mo nae ana Cola,azam wanayo amabazo zote zina radha zinazokaribia na Coca na Pepsi.(Utofauti upo ktk Formula basi)
 
umetisha mkuu kwa kumfafanulia team ndomo,.... Sisi team Kiba kwetu furaha tu leo
 
Siifahamu labda uniambie wewe? Mimi ni mpenzi wa malta.
wapinzani wa Mofaya sio mo energy wala azam energy wapinzani wake ni wakina baltika,redbull, kungfu energy na wengineo hii ni nzuri sana kwa sie ambao sio walevi lakin huwa tunakaa bar itatusaidia sana aiseee
 
Mofaya ni energy drink ,MO na Bakheresa wanazo hizo hizo energy drink ,kama Azam energy drink nishawahi kunywa mara moja ila sijavutiwa nayo.
hizo ulizozitaja zinauzwa sana kwa maduka ya mangi lakini akina kungfu energy wanauzwa sana bar ndio level za akini Mofaya
 
Ila vyote si Energy Drink au ndio unataka kuleta ubishi wa SIDE na SAID kama ya Azam nishawahi kuinywa ila haikunivutia.
.
bhas mkuu naona upo kishabiki zaid,,mimi nmefafanua energy drinks ambazo zinanendana na ya kiba concerning na ishu ya bei atakayouza,kwa mana ukilinganisha na vimaalta uktuliza ubongo utaona main point..nakuaga kwa mfano huu,burudani na saint ann au dompo zote ni wine ila hazina ushundani
 
asipoelewa na hapa tena sasa huyu atakuwa ana matatizo kichwani
 
hizo ulizozitaja zinauzwa sana kwa maduka ya mangi lakini akina kungfu energy wanauzwa sana bar ndio level za akini Mofaya
Hapo sasa tutakuwa tumeelewana na ni kweli ni vigumu kuikuta kung fu au malt kwa mangi.Ila hizi azam na mo uswailini kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…