Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Tafuta mume na wewe acha kumuonea wivu mke wa Kiba.Wivu uko wapi hapo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta mume na wewe acha kumuonea wivu mke wa Kiba.Wivu uko wapi hapo??
ukifanikiwa kunywa hicho kinywaji kama utakuwa una mechi na mtoto mzuri siku hiyo lazima aombe poo maana damu itakuwa sio tu imechangamka bali itakuwa inatokota aiseee
I go by the name.... unstopable nimekubali acha sie tuuze karanga tu maana hakuna namnaNaona kwa makadirio kitauzwa Tsh 2500,SA kinauzwa R10
mimi hata iuzwe elfu kumi nitanunua kwanza nasikia inaongeza siku za kuishi duniani ukinywa hicho kinywajiNaona kwa makadirio kitauzwa Tsh 2500,SA kinauzwa R10
WivuSherehe bovuuuu kweli yaaan harusi imepoza kama msiba wa jangil
Hii biahara lazima uangalie bei za mpinzani wako,ktk hili mpinzani wake ni Malta,Mo Energy na Azam Energy drink,kwa hiyo you have to put a reasonable price la sivyo unaweza usifanye vizuri sokoni.mimi hata iuzwe elfu kumi nitanunua kwanza nasikia inaongeza siku za kuishi duniani ukinywa hicho kinywaji
unajua bei ya kungfu energy sokoni shillingi ngapi?Hii biahara lazima uangalie bei za mpinzani wako,ktk hili mpinzani wake ni Malta,Mo Energy na Azam Energy drink,kwa hiyo you have to put a reasonable price la sivyo unaweza usifanye vizuri sokoni.
Siifahamu labda uniambie wewe? Mimi ni mpenzi wa malta.unajua bei ya kungfu energy sokoni shillingi ngapi?
Wapinzani wake Sio hivyo vijwaji ulivyo vitaja,... wapinzani wake ni Redbul, Baltika na kile cha joti jina nimelisahauHii biahara lazima uangalie bei za mpinzani wako,ktk hili mpinzani wake ni Malta,Mo Energy na Azam Energy drink,kwa hiyo you have to put a reasonable price la sivyo unaweza usifanye vizuri sokoni.
.Hii biahara lazima uangalie bei za mpinzani wako,ktk hili mpinzani wake ni Malta,Mo Energy na Azam Energy drink,kwa hiyo you have to put a reasonable price la sivyo unaweza usifanye vizuri sokoni.
Mofaya ni energy drink ,MO na Bakheresa wanazo hizo hizo energy drink ,kama Azam energy drink nishawahi kunywa mara moja ila sijavutiwa nayo.Wapinzani wake Sio hivyo vijwaji ulivyo vitaja,... wapinzani wake ni Redbul, Baltika na kile cha joti jina nimelisahau
Kungfu energy bossWapinzani wake Sio hivyo vijwaji ulivyo vitaja,... wapinzani wake ni Redbul, Baltika na kile cha joti jina nimelisahau
Ila vyote si Energy Drink au ndio unataka kuleta ubishi wa SIDE na SAID kama ya Azam nishawahi kuinywa ila haikunivutia na kumbuka Mo nae ana Cola,azam wanayo amabazo zote zina radha zinazokaribia na Coca na Pepsi.(Utofauti upo ktk Formula basi).
ah ah ah mkuu acha komedi,,kwny upinazni,wapinzani wa kiba kwa bidha mofaya ni cocacola na pepsi,utajiuliza kvp,coca anamiliki nos,burn na Relentless wakati pepsi wao wana amp,starbucks lakn no fear washaiuza,,vle vle mpnzan mwngne ni monster tho coca anahisa hpa,,hvyo 'vdude' ulvyotaja hapo vya jelo mpk mia6 sio size yake,n km nyagi na gongo,zte kali bt grade tofauti
umetisha mkuu kwa kumfafanulia team ndomo,.... Sisi team Kiba kwetu furaha tu leo.
ah ah ah mkuu acha komedi,,kwny upinazni,wapinzani wa kiba kwa bidha mofaya ni cocacola na pepsi,utajiuliza kvp,coca anamiliki nos,burn na Relentless wakati pepsi wao wana amp,starbucks lakn no fear washaiuza,,vle vle mpnzan mwngne ni monster tho coca anahisa hpa,,hvyo 'vdude' ulvyotaja hapo vya jelo mpk mia6 sio size yake,n km nyagi na gongo,zte kali bt grade tofauti
wapinzani wa Mofaya sio mo energy wala azam energy wapinzani wake ni wakina baltika,redbull, kungfu energy na wengineo hii ni nzuri sana kwa sie ambao sio walevi lakin huwa tunakaa bar itatusaidia sana aiseeeSiifahamu labda uniambie wewe? Mimi ni mpenzi wa malta.
hizo ulizozitaja zinauzwa sana kwa maduka ya mangi lakini akina kungfu energy wanauzwa sana bar ndio level za akini MofayaMofaya ni energy drink ,MO na Bakheresa wanazo hizo hizo energy drink ,kama Azam energy drink nishawahi kunywa mara moja ila sijavutiwa nayo.
.Ila vyote si Energy Drink au ndio unataka kuleta ubishi wa SIDE na SAID kama ya Azam nishawahi kuinywa ila haikunivutia.
asipoelewa na hapa tena sasa huyu atakuwa ana matatizo kichwani.
bhas mkuu naona upo kishabiki zaid,,mimi nmefafanua energy drinks ambazo zinanendana na ya kiba concerning na ishu ya bei atakayouza,kwa mana ukilinganisha na vimaalta uktuliza ubongo utaona main point..nakuaga kwa mfano huu,burudani na saint ann au dompo zote ni wine ila hazina ushundani
Hapo sasa tutakuwa tumeelewana na ni kweli ni vigumu kuikuta kung fu au malt kwa mangi.Ila hizi azam na mo uswailini kibao.hizo ulizozitaja zinauzwa sana kwa maduka ya mangi lakini akina kungfu energy wanauzwa sana bar ndio level za akini Mofaya