Beb ina maana hatuaminiani mpaka uanze kutrack simu?Jana bby nilikuulizia kwa Dada yako lakini hakunambia ulipokwenda, sasa kinachofata ni mwendo kutrack sim zako.
Nakuamini lakini siku hizi unaondoka bila kunambia unakokwenda.Beb ina maana hatuaminiani mpaka uanze kutrack simu?
ILA NDOA
NI ZAIDI YA UVUMILIVU
NA INAVYOFAHAMIKA!!!
Field yake ni zaidi ya vita.
Haya kama ni hivyo sawa, lakini mbona Shunie ananambia anashindwa kutuelewa mashemeji zake ni wangapi?Ni jana tu na nilikua na Shunie bby
Nina wivu kivip mbona kule Mombasa ilichangamka kuliko huku...si bure una lako jambo.Wacha wivu kha
we kibindu watie wenzio moyo usiwatisheILA NDOA
NI ZAIDI YA UVUMILIVU
NA INAVYOFAHAMIKA!!!
Field yake ni zaidi ya vita.
Music ni sauti zilizolaaniwasipendagi unafiki aisee mimi, hapo amevaa kama kazaliwa maka, harusi ikiisha anaanza kutuletea miziki ya wavaa uchi, wakati leo hadi anavyoongea mdomo kauzungurusha aongee kiarabuarabu aonekana mwenye dini. hivi mziki wake huo na wa diamond dini yake inaruhusu? mashekhe njooni hapa mtueleze.
Katafute bwana hukoWabongo mshaanza..roho za kichawi hizi!
He better do it sio Ku stick na mziki mziki mziki tuuuuuu.
meipenda,signature..yako,nzuri..imeniinsipire.hii imenivutia sana.Nipo mbali na my mama. Imenifanya nimkumbuke sana.
Tuma video tuone kitchen party yako ilivyochangamka.Nina wivu kivip mbona kule Mombasa ilichangamka kuliko huku...si bure una lako jambo.
Mbona unatoa povu kama umekunywa pombe iliyochacha mxiiiiiiiii[emoji57]Tuma video tuone kitchen party yako ilivyochangamka.
.Huyu mama asifurahie kuolewa na kula keki tu, anatakiwa awe mvumilivu na mwenye mapenzi kwa watoto wa mumewe. Maana nimeshuhudia wakinamama wa kambo wengi wana drama zinazowaweka mume zao kwenye wakati mgumu. Kama kampenda Ali Kiba apende na watoto wake.
Wenu mtiifu, Baba Gaude.
Hiyo inaitwa roho....!!!Kigwa upande wa kuvaa, dah! Designer wake sijui ni nani!
Aliyemwambia hivyo visuti huwa vinampendeza sijui nani.