Harusi: Usiku wa Ali na Abdu Kiba

Harusi: Usiku wa Ali na Abdu Kiba

Karibuni kwenye ulimwengu mpya, ulimwengu wenye raha na karaha! Ulimwengu wa ndoa... viva Kiba Square
 
huyu abdukiba nae kutwa kuning'ing'ia kwenye makwapa ya kaka ake, ndo mana hata kimziki haendelei, kulikuwa na haja gani ya kufunga ndoa pamoja na kaka ake
 
sipendagi unafiki aisee mimi, hapo amevaa kama kazaliwa maka, harusi ikiisha anaanza kutuletea miziki ya wavaa uchi, wakati leo hadi anavyoongea mdomo kauzungurusha aongee kiarabuarabu aonekana mwenye dini. hivi mziki wake huo na wa diamond dini yake inaruhusu? mashekhe njooni hapa mtueleze.
Music ni sauti zilizolaaniwa
 
hii imenivutia sana.
Nipo mbali na my mama. Imenifanya nimkumbuke sana.
 
He better do it sio Ku stick na mziki mziki mziki tuuuuuu.

Its true music unamwisho inafikia kipindi unakuwa huwezi kutoa Hit kali kama zamani...mfano cheki P diddy,Jay Z, 50 CENT hawa wote sasa hivi wamewekeza katika biashara mbali mbali...

Sometimes its better kutumia jina lako kabla halijafifia.
 
Huyu mama asifurahie kuolewa na kula keki tu, anatakiwa awe mvumilivu na mwenye mapenzi kwa watoto wa mumewe. Maana nimeshuhudia wakinamama wa kambo wengi wana drama zinazowaweka mume zao kwenye wakati mgumu. Kama kampenda Ali Kiba apende na watoto wake.

Wenu mtiifu, Baba Gaude.
.
IMG_20180430_194418.JPG
IMG_20180430_194436.JPG
 
Back
Top Bottom