[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu dada ambae wako na Hashim anaharibu mahojiano na kilemba chake kama fuko la cement.
Hajui kuuliza maswali anakuwa kama Tunakopa tano hapa na mbili kichwani.
Hivi barafu ya moto ni " ke " ???Tafuta mume na wewe acha kumuonea wivu mke wa Kiba.
Ciroc tunaigwagwadua tu...yaani ni naked truth hakuna la kuongezea hapo ulichokiandikaIts true music unamwisho inafikia kipindi unakuwa huwezi kutoa Hit kali kama zamani...mfano cheki P diddy,Jay Z, 50 CENT hawa wote sasa hivi wamewekeza katika biashara mbali mbali...
Sometimes its better kutumia jina lako kabla halijafifia.
Yeah! Kiukweli wadada wameizingatia sana kimuonekano wamezidi kunogesha mvuto wa ukumbiniWamependeza sana. Hata ukumbini dressing code imezingatiwa vizuri na wadada