Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhIla sherehe ya leo imeepooza kama imemwagiwa mkojo wa ngedere.
NdiyoUzinduzi wa kinywaji tena?!
Uzinduzi wa kinywaji tena?!
yeye ni mtu wa maliasili so yupo kimaliasili mzee babaKigwa upande wa kuvaa, dah! Designer wake sijui ni nani!
Aliyemwambia hivyo visuti huwa vinampendeza sijui nani.
Wivu wa kike huu.Sherehe bovuuuu kweli yaaan harusi imepoza kama msiba wa jangil
Acha wivu wa kike wewe.Kigwa upande wa kuvaa, dah! Designer wake sijui ni nani!
Aliyemwambia hivyo visuti huwa vinampendeza sijui nani.
Kamanda unanichekesha kweliyeye ni mtu wa maliasili so yupo kimaliasili mzee baba
Hiyo suti ina connection gani na mali asili??yeye ni mtu wa maliasili so yupo kimaliasili mzee baba
Wivu uko wapi hapo??Acha wivu wa kike wewe.
ww huoni ina kama upundamilia flani hivi na urangi wa utwiga utwiga hiviHiyo suti ina connection gani na mali asili??
sana mkuu ndoa ina heshima yake japo pia ina changamoto zakeHeshima ya huyu jamaa imeongezeka