ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ww kaoe akina mwajuma ndala ndefu ndio saizi yakoMie wacha nianze kunyemelea mtoto wa B.Gates na Lt. Steve Job labda nnaweza kuokota dodo huko.
Ila shida mmojawapo akinikubalia ataweza kuja kula ugali wa kulumangia na kachumbari