Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Kenyan bride Hawa Abdulkadir poses for a photograph during her traditional Nubian wedding ceremony in Nairobi's Kibera slum on Saturday...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mohamed Noah ni nani Ab-Titchaz
Mashallah
![]()
Kenyan bride Hawa Abdulkadir poses for a photograph during her traditional Nubian wedding ceremony in Nairobi's Kibera slum on Saturday...
Kwa hiyo ya kwako lin?
ana midomo mizuri....hizo lips
Mkuu sijaelewa.......nani huyu......?
Mkuu sijaelewa.......nani huyu......?
Kamanda.
Noah ni jina la kiyahudi!
Nadhani jamaa ametaka kuonyesha eneo la Uswaz na maisha ya huko (Nairobi) eneo la Kibera, hili eneo ni slums area kuliko hata Manzese na maeneo mengine unayoyafahamu hapa Bongo, Kuna kipindi eneo hili lilikuwa halina serikali bali linaongozwa na Mungiki, hao ndiyo walikuwa wanakusanya kodi na kusimamia huduma za hapo. nadhani ni kati ya maajabu ya dunia ambayo yalikuwa hayafahamiki. Hii Harusi naona imechanganya kimila na kidini lakini mara nyingi harusi za huko zinafanyika kimila zaidi. kama kuna mahali nimekosea mleta mada anaweza kunisahihisha kwa manufaa ya wana JFMkuu sijaelewa.......nani huyu......?
ana midomo mizuri....hizo lips