Harusi ya Hawa Abdulkadir na Mohammed Noah

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253



Kenyan bride Hawa Abdulkadir poses for a photograph during her traditional Nubian wedding ceremony in Nairobi's Kibera slum on Saturday...

 



Mohammed Noah was dressed in Islamic attire for the ceremony...
 


Her legs are decorated with henna as she waits in a secluded room....

 
Mkuu sijaelewa.......nani huyu......?
 
Mkuu sijaelewa.......nani huyu......?
Nadhani jamaa ametaka kuonyesha eneo la Uswaz na maisha ya huko (Nairobi) eneo la Kibera, hili eneo ni slums area kuliko hata Manzese na maeneo mengine unayoyafahamu hapa Bongo, Kuna kipindi eneo hili lilikuwa halina serikali bali linaongozwa na Mungiki, hao ndiyo walikuwa wanakusanya kodi na kusimamia huduma za hapo. nadhani ni kati ya maajabu ya dunia ambayo yalikuwa hayafahamiki. Hii Harusi naona imechanganya kimila na kidini lakini mara nyingi harusi za huko zinafanyika kimila zaidi. kama kuna mahali nimekosea mleta mada anaweza kunisahihisha kwa manufaa ya wana JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…