Harusi ya Joti Katika Kanisa Katoliki Magomeni

Watu wanaona anavyoact kama mtoto anabebwa mgongoni wanafikiri ni mdogo

Hahahaha nimejikuta nacheka kwa sauti nakumbuka tangazo la chips snack alivyofumuliwa mingumi supermarket
 
Sorry wakuu mwenye clip hiyo plz aiweke hapa!
 
Isee wewe ni mjinga sana, wanaochafuwa ukristo ni wale maparoko wanaobaka na kuvilawiti vivulana.
hizo ni fikra zako wewe kilaza hivi hujui mambo mengine yanatengenezwa tu ili kuhamishana kikazi basi kilaza wewe unajua kwelii ukiulizwa uliwaona live utatoa jibu???! au ndio wale nyumbu fata upepo tu amka wewe
 
shangilia sana ndugu yangu wote tunaujua usasa huo but nyumba ya ibada iheshimiwe kidogokidogo huzaa kikubwa ok
 
sawazisha kawaida coz hata wife wake mstaarabu sana kwanini hakumshauri bwana wake mwanamke mzuri kinoma but kwa hilo alizubaa
Huyo ni msanii, ni comedian, n.k
Huo mwonekano ni part ya kazi zake, hakuna shida hapo
 
Ivi yale makorokoro yake ya kuigizia hua anayahifadhi nyumbani au anaofsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…