Harusi ya Joti Katika Kanisa Katoliki Magomeni

Harusi ya Joti Katika Kanisa Katoliki Magomeni

Mt
Nimechekaaaa! Eti atakuwa anavaa nguo za huyu mke! Mnyalukolo huyu na vituko vyake anaweza!
Yule binti ni mtoto wa kuzaliwa na huyu bibi harusi au kuna mama mwingine wa yule mtoto? Nauliza tuuu
Wamependeza lakini Hongera zao nyingi tu!
Mtoto alizaliwa na mwanamke mwingine ambaye ndio alikuwa aolewe miaka kadhaa nyuma, wakati wa maandalizi ya kufunga ndoa yule mwanamke ghafla akakataa na kumkacha kabisa Joti (inasemekana alipata jamaa mwingine mwenye kisu kirefu)
 
Ndoa ya Roma hapo ni mpaka kifo kiwatenganishe. Hongera mr and mrs Joti
 
Maharusi wamependeza sana. Hongera Mr and Mrs Lucas Lazaro Mhuvile aka Joti.
 
Wasije wakawa wanatengeneza tangazo sie tunasema harusi mubashara
 
Mpendwa Mteja, Ofa ya Jaza Ujazwe inaisha Tar 29/10/2017. Usikae mbali na simu yako kitu KIKUBWA kinakuja.
 


Joti ndoa kanisa la Magomeni leo jumamosi pata kuana akiwa kanisa kwenye video
 


Joti akifunga ndoa kanisa la Magomeni leo jumamosi pata kuana akiwa kanisa kwenye video
 
Kuna watu walifikiri JOTI alikuwa anatania kuhusu kufunga ndoa yake leo. Mwenyekiti wa kamati kasema shughuri nzima ya harusi ya ndoa imegharimu kama shs milioni mia moja.Wageni zaidi 600 wanategemea kuhudhuria pale Mliman city na mmojawapo ni Mzee KIKWETE JK.MC ni EPHREM KIBONDE Live!
 
Back
Top Bottom