Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ukristo ni kunyoa kipara?JOTI mbona anaacha kiduku hicho kanisani hilo kanisa wanamwangalia tu??? hovyo kweli mnauchafua ukristo nyie nyumbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukristo ni kunyoa kipara?JOTI mbona anaacha kiduku hicho kanisani hilo kanisa wanamwangalia tu??? hovyo kweli mnauchafua ukristo nyie nyumbu
Hahahahahh juu ya nini? Labda alikuwa anawaza inaweza kuwa Tigo commercial ad!bibi arusi kakomaa sura uuuu
Mtoto alizaliwa na mwanamke mwingine ambaye ndio alikuwa aolewe miaka kadhaa nyuma, wakati wa maandalizi ya kufunga ndoa yule mwanamke ghafla akakataa na kumkacha kabisa Joti (inasemekana alipata jamaa mwingine mwenye kisu kirefu)Nimechekaaaa! Eti atakuwa anavaa nguo za huyu mke! Mnyalukolo huyu na vituko vyake anaweza!
Yule binti ni mtoto wa kuzaliwa na huyu bibi harusi au kuna mama mwingine wa yule mtoto? Nauliza tuuu
Wamependeza lakini Hongera zao nyingi tu!
Nimeona Tangazo kuwa itarushwa Azam Leo??? Ni saa ngapi vile kama ni Leo?Ndoa ya Roma hapo ni mpaka kifo kiwatenganishe. Hongera mr and mrs Joti
Hamisi/Abdallah/Juma nkUlidhani anaitwa nani