[emoji1] [emoji1] [emoji1]ajabu sana sana...duniani kuna mengi sana
Habari yako LucasDuh ametisha sana wajina
You must be a woman.Shimboniiibibi arusi kakomaa sura uuuu
Unamjua ming yao? Kawacheki wazazi wake alafu urudi hapa na ma aaa yakoJot na mke wake wanalingana urefu.
a+a=aa na A+a=Aa. Tegemea mtoto wao kua aa. Hatari sana.
Ninyi ni wageni kabisa na biblia na mnaishi kinafiki kanisa katoliki halipo hivyo. Wapo wanaofuga rasta, wapo wanaosuka nywele, wapo wanaonyoa haijakatazwa sehemu yoyote haina madhara kwake yeye na wala kwa jirani yake. Tuache imani za kinafiki huku tukiwa watenda dhambi wakubwa wa kujificha. Kwenye macho ya watu ni wakosoaji wakubwa tunajifanja kutekeleza mila za wale waliotuletea dini kama kuiga mavazi yao, staili za nywele huku moyoni tuyatendayo na tuishivyo Mungu anakuona waziwaziJOTI mbona anaacha kiduku hicho kanisani hilo kanisa wanamwangalia tu??? hovyo kweli mnauchafua ukristo nyie.
Mi mzima kabisa, kwema.Habari yako Lucas
Poa mambo vpHabari yako Lucas
Hee ushapigwa banMi mzima kabisa, kwema.
Hakualikwa?Sorry wakuu mwenye clip hiyo plz aiweke hapa!
subiri ina-Loading halafu itaPlaySorry wakuu mwenye clip hiyo plz aiweke hapa!
Ukristo si nywele. Nywele zako hazikuongezei utakatifu.JOTI mbona anaacha kiduku hicho kanisani hilo kanisa wanamwangalia tu??? hovyo kweli mnauchafua ukristo nyie.
Kwan ulizaliwa na nan..na siyo dhambiYou must be a woman.Shimboniii
izo nywele ndio kazi inamuweka mjinjiAmeshindwa hata kutoa hizo nywele hapo juu?
hivi hamjiulizi babu zenu walivyoheshim kanisa wengine tupo tofauti na nyinyi na hata dini haziruhusu tafuta magazeti ya leo padri huyo alivyokosolewa msipende kushadadia utumbo din lazima iheshimike fanyeni mbele ya safari zenu na huyo padri lazima ale makofi kwa wakubwaUkristo si nywele. Nywele zako hazikuongezei utakatifu.