Harusi ya kuolewa Binti wa Rais Hussein Mwinyi

Unapanda Ngorika na Abood then ukutane na watoto wa Kishua?

Kwanza hawa probably hukutana abroad kwenye event nzito nzito au kwenye midege mikubwa wakielekea abroad.

Hawakukutana kwenye daldala za simu 2000 au za Mbagala hawa.
Ji kama wametoka ssyari nyingine kabisa, wametua kwa picha soon watarejea walikotoka
 
Samia na Husein ni mtu na kayemba!
mtoto wa mwinyi kaoa binti wa Samia......
ilikua lazima ahudhurie!

tunatawaliwa na familia moya[emoji2]
 
Nasikitika kuona watu wanafanya jambo la heshima kama ndoa kuwa fursa ya kiuchumi.
 
Kataa Ndoa.. Ata awe mtoto wa nani we Kataa.
Nyie ndio mnaoliwa tigo hivi inakuwaje Mwanamume kabisa unaendeleza kampeni ya kataa ndoa mbona hamna soni ndugu zangu?kataa ndoa ili iweje sasa ugongwe au?hebu acheni usenge wenu buana mambo yenu ya Kishoga mmalizane kimya kimya na mabwana zenu sio kushawishi watu ujinga BASTARD!!
 
kila shetani na mbuyu wake...
kila chungu na mfuniko wake...
kila mlango na ufungui wake...
kila nyumba na mlango wake...

zote hizi ni methali kuonesha ya kwamba kila mtu na mtuwe (mtu wake)...
Sasa hawa vijana wanaopayuka humu kuwa Kataa ndoa sijui nini wanahusika na Methali gani?
 
Kuna wengine wanaoa mazingira ya hivyo lakini inafika mahala raha ya nafsi Mwanaume anaikosa.
Unakuta mke anakuwa mkali kama Pilipili.

Mwanaume hata kama ni kweli hakuwa na kazi na kazi katafutiwa na baba mkwe taasisi nzuri lakini mke ndio ufanye iwe fimbo ya kumtawala mumeo?
Mwanaume anasononeka hana raha ya nafsi sababu mke hana adabu πŸ€”πŸ˜
Sababu kwao wana Hela ?!
 
🀣🀣🀣🀣
 
Kweli kabisa kijana ni wa Mmasai wa Arusha kwao wanazo sana, kasoma Uturuki ni mfanyabiashara ila ni kijana mstaarabu sana namfahamu,wacha tuishie hapa.
 
Hii hutokea mara nyingi, na huwaga sio akili ya mwanamke tu anapata ushauri hata kwa ndugu zake na mama yake hata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…