Harusi ya kuolewa Binti wa Rais Hussein Mwinyi

Harusi ya kuolewa Binti wa Rais Hussein Mwinyi

Kumbe Una taka mwanamke muislam na mwanaume mkristo mbona zipo kibao tu tembea uone
The general rule (Sura Baqara 2:221) is that neither Muslim men nor Muslim women are allowed to marry “mushriks” (those who associate partners with God).

However, in Sura Al-Maeda (5:5), Muslim men are given a specific allowance to marry women of the Book (ahl al-kitab).

No similar express allowance is given to Muslim women.

Based on this, there is a unanimous consensus among classical scholars of both Sunni and Shi’i schools of thought that such marriages (Muslim women and non-Muslim men) are prohibited.

This consensus is known in jurisprudence as “ijma’” and is considered one of the sources of Islamic law.


Tanzania sio theocracy ndio maana tunaruhusiwa kuoa au kuolewa na yeyote yule kiserikali hata kama dini zetu zinakataza. Aidha, tunaruhusiwa kuishi pamoja bila kuoana hata kama dini zetu zinatuona kama wazinifu. Wanawake pia wanaweza kuzaa nje ya ndoa bila kuadhibiwa na mahakama. Kinachoangaliwa ni je umefikia umri unaotambulika wa kuweza kufunga ndoa, una akili timamu na umefikia uamuzi huo bila kushurutishwa na mtu yeyote. Ndio maana wanawake wa kiislamu wanaweza kuishi pamoja na wanaume wa kikristu na hata kuzaa nao bila tatizo lolote kiserikali. Ndio maana hata kama familia yako inakukataza kuoa mwanamke wa kabila au rangi fulani bado utaweza kumuoa bila pingamizi lolote kutoka serikalini. Ndio maana hautaadhibiwa na serikali kama utaonekana unakula kitu ambacho dini yako inakataza. Lakini ukumbuke tu ukienda kinyume na matakwa ya dini yako nao wana haki ya kukutenga na kutokukutambua kama mwenzao. Hauwezi kuwapeleka mahamani wakifanya hivyo.

Naona niishie hapa. Kama bado haujaelewa hautakuja kuelewa hata nikueleze vipi.
Amandla...
 
Huyu kijana anaonekana anavuta mibangi,kingine wanaume sasa hao wameoa sio nyie humu asilimia fulani tumuombe Mungu
 
Back
Top Bottom