Harusi ya Masanja kiingilio laki moja

Harusi ya Masanja kiingilio laki moja

Taribo

Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
89
Reaction score
84
Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayari watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajili ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
 
Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayali watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajiri ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
hiyo ni harusi au show,hongera lkn...
 
Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayali watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajiri ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
Watu nao wataanza kuiga
 
Hiyo laki moja ni mchango wa arusi usio na kadi wala usumbufu wa watu kufuatwa fuatwa na kufuata fuata. Lipa laki moja, ingia arusini. Nimeipenda hii.
 
Kodi zetu hapo zichukuliwe, ni biashara iyo
 
Yes n mchango but atleast mchango wako unatoa mwenyewe bila kushurutishwa...sio baadae ooh ulininyima kadii....
Well, for a man of his stature it could be a right thing but kwa mtu wa kawaida Lazima ijambe.
 
Back
Top Bottom