Harusi ya Masanja kiingilio laki moja

Harusi ya Masanja kiingilio laki moja

Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayari watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajili ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
Jamaa anajua kutumia fursa vizuri...hapo najua atauza nan DVD ya harusi
 
Wala siyo ajabu kupata watu wote hao, kwa sababu yeye tayari anajulikana. Lakini kwa mtu asiye na umaarufu wowote inakuwa shida.
 
Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayari watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajili ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
Hii nzuri sana, tumia fursa ya ujinga wa wabongo
 
Back
Top Bottom