Harusi ya Masanja kiingilio laki moja

Harusi ya Masanja kiingilio laki moja

Sie wabongo vichwa vyetu vimeungua,kuona harusi ya msanja for what? who is masanja by the way? Bongo movie Bongo Lala.
 
Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayali watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajiri ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
Huyu si mtumishi wa dini?
 
hata harusi ya mototo was Clinton haikiwa na mbwembwe kiasi hiki,
 
Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayali watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajiri ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
TRA wakachukue Kodi maake si kwa kiingilio icho
 
Masanja anatumia advantage ya ujinga wa wengi wa Watz.
Mbinu yake ni kama ya swiswism ya Chukua chako Mapema,wakija kushtuka kwishneri
 
Ngoja na mimi nijilipue naweza kuopoa binti mbichi kabisa.......
2e808fc5dc528ef34bb366809742f173.jpg
i love em baldness.........
 
Mbona ukiambiwa kuna Bikini au Kifua wazi cha Mwanaume CarWash unaenda kisa kuona Bikin sembuse Harus maamuz tu mjini pesa Salamj Ndo Bure
 
Back
Top Bottom